Ukurasa ni mfumo unamsaidia mmiliki wa duka kupata taarifa za mauzo, matumizi na faida ya maduka yake bila kutumia muda na nguvu nyingi mfanyakazi wako ataweza kufanya kazi kwa ufanisi zaid.
Get in Touch info@saidtech.co.tz
Haijalishi ni aina ipi ya biashara, muda ulioanza au ukubwa wa biashara husika. UKURASA ndio suluhisho lako.
Kukuwa kwa teknolojia, hakupaswi kuwa kwa gharama kubwa.
price per month